Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na hii dhana ya uchochezi hasa kupitia mitandao ya kijamii. Dhana hii sasa imekuwa ni kibano kikali kwa watoa maoni wote katika mitandao na wengi wetu...
Nkekuwa nasikia mara nyingi neno kuhonga likitumika sana utasikia gari lile mbona kahongwa au simu ile kahongwa tu hana lolote kwa anayejua maana yake.[emoji122]
Wakuu wa jukwaa, wakubwa kwa wadogo habarini, nimekaa nmetafakari sana nmeshindwa kupata jibu na kung´amua kiundani. Tafadhari ninaomba mnisaidie kwa faida yangu, kizazi hiki na kijacho.
Nini...
Naomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda...
Bado unasema Kiswahili ni lugha nyepesi eti kwa kuwa tunaelewana tu!!!?Tazama.......
KIINGEREZA------KISWAHILI
Device-------------Kitumi
Photocopier------Kinukuzi...
Duplicating Machine --Kirudufu...
*Pa Pa Pa*
(Kimya)
*Pa*
- Kezilahabi, 2008 [Kwenye Diwani ya Dhifa]
*Tafakuri Fupi Juu ya Shairi Hilo*
Ushairi ni taaluma kama taaluma nyingine tanzu. Maudhui katika Ushairi...
POLE TUNDU LISU.
1)Maisha ya mwanadamu,yamejawa na mikasa
Mirahisi na migumu,mapito mengi na visa
Inapomwagika damu,nchi inajitikisa
Pole sana ndugu Lisu.
2)Ulihamka salama,kazini kuelekea...
1. Fumbo ninawafumbia, wajuaji mfumbue,
Ni siri nawaambia, werevu na wategue,
Ni swali nawarushia, Malenga jitutumue,
Ndege huyu ndege gani, Na makinda yake mia?
2. Apendeza kama nini, hilo...
Habari za muda ndugu, jamaa na marafiki? Mada tajwa ni swali tosha kuwakamata kidato cha nne, cha sita na hata wanazuoni ambao wamewekeza katika elimu, hususan lugha ya kiswahili. NECTA, TUKI...
Naomba kupewa ushirikiano hapa.
Naona style mpya ambayo risala na wasifu wa marehemu huandikwa na kusomwa mbele ya umma msibani tofauti na tulivyozoea.
Hili nimeliona ndani ya kanisa Katoliki...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama unakumbuka hapo awali neno maarufu lilikuwa ni utaisoma namba, ilikuwa tu ukikosea kitu na ukijichanganya kitu fulan watu walikuwa wanasema utaisoma...
Nimewahi kusikia msemo "the guilty are afraid". Naomba yeyote awezaye anipe tafsiri ya huo usemi. Na ikiwezekana, anifafanulie kwa kutoa mifano. Asanteni.
Ninasikitika sana mtanzania kumcheka mtanzania mwenzake eti hajui kiingereza huku akijua fika kiingereza nchini ni marufuku mpango huu upo kwa makusudi ili mtanzania asiwe na uelewa mpana wa elimu...
Humu JF kuna wataalamu wengi sana wanaojua vizuri English japo kuwa hawajaishi nchi zinazoongea English kama lugha ya taifa hivyo tunaweza peana mbinu za kumudu hii lugha.
Mimi Kwa uzoefu wangu...
If something has gone to the dogs, it has gone badly wrong and lost all the good things it had. Example Tanzania has gone to the dogs-Maana yake tumepoteza sifa nzuri ambazo zilitambulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.