Nijuzeni maana halisi ya kukurupuka

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Hivi karibuni neno kukurupuka limepata umaarufu mkubwa katika ulingo wa siasa, hasa viongozi wa upande wa upinzani. Najiuliza:
1) Ni nini maana halisi ya kukurupuka?
2) Ni katika mazingira yapi mtu anaweza kuambiwa kakurupuka?
3) Je, kukurupuka ni sifa ya aina gani kijamii, kisiasa na kiuchumi?

NAWASILISHA
 
Maana yake ni kama ulivyo KURUPUKA kuuliza maswali yako hapo juu.
 
Kukurupuka ni kufanya maamuzi ya haraka bila kutafakari matokeo yake ni chanya au hasi.
 
"..hasa viongozi wa upande wa upinzani.."

Kwa matukio tuliyo na tunayoendelea kushudia Nadhani kukurupuka kupo hasa kwa viongozi wa serikali hii kuliko upinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom