Tafsiri ya kiswahili ya wimbo mpya wa Patoranking na Diamond platnumz

Naren

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
692
422
Tafsiri ya kiswahili ya jina la wimbo huo wa Patoranking na diamond platnumz-Love you die , ni ipi?

Kwa tafsiri yangu ni "nakupenda.kufa" au "die" ni kinigeria kama wanavyozoeleka kuongezea "-oo" kwenye matamshi yao, huenda ikawa "die" ni "dear" kwa wanigeria....maoni yenu tafadhali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom