Ipi sahihi? "What a hell" au "What the hell"

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Hey Guys,

Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Seduce Me' unabamba sana kwa sasa na kuna maneno kadhaa ya Kiingereza yametumika kwenye wimbo huo.

Nimeleta kwenu wajuzi wa lugha tusaidiane... Pale anaposema 'What a hell' ni sahihi kweli? Sina utaalamu sana lakini kwa mazoea tu nimekuwa nikilisikia hili neno likisemwa 'What the hell' badala ya hiyo ya Ali..

Tupanuane maarifa kwenye hilo wakuu.. Lipi liko sahihi hapo?

Nipo..
 
waswahili bwana

hapo ukisikiliza hata maneno ya kiswahili yapo yakiyokosewa lkn huwa hatuoni shidaa...kosea lugha ya watu ni mjadala wa nguvu.

Mj napita zangu japo kakosea

the ndio sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey Guys,

Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Seduce Me' unabamba sana kwa sasa na kuna maneno kadhaa ya Kiingereza yametumika kwenye wimbo huo.

Nimeleta kwenu wajuzi wa lugha tusaidiane... Pale anaposema 'What a hell' ni sahihi kweli? Sina utaalamu sana lakini kwa mazoea tu nimekuwa nikilisikia hili neno likisemwa 'What the hell' badala ya hiyo ya Ali..

Tupanuane maarifa kwenye hilo wakuu.. Lipi liko sahihi hapo?

Nipo..

Hell ni superlative hailinganiwi na kingine kwa hiyo sahihi ni kusema What the hell
 
Jibu sahihi ni WHAT A ***....what a hell too sounds better.....ANGALIZO...kizungu ni lugha yangu ya 4 nikianza na kiswahili kichaga kisukuma na kiingereza.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Hata kipusa maana yake hakuifahamu, na ni neno la kiswahili kama angejua asingetumia, maana ya KIPUSA ni msichana mrembo mdogodogo...huyu jamaa sijui hana wahakiki??

Back
Top Bottom