Prof. Ibrahim Noor ana haya hapo chini ya kueleza kuhusu Badawi Qulatein:
Nimepokea makala hii kutoka kwa Prof. Ibrahim Noor na kwa ajili ya umuhimu wake nimeona niiweke hapa kwa faida ya wote...
Kenya, Tanzania na Uganda zilikuwa zikishirikiana tangu karne ya 20. Bandari ya Mombasa ilifanya Kenya na Uganda kuungana tangia 1917, ambapo nchi iliyokuwa Tanganyika kipind hicho ilijiunga na...
Malkia Anna Nzinga alizaliwa 1583 na alifariki December 17, 1663, pia alijulikana kwa jina la Njinga Mbande au Ana De Sousa Nzinga Mbande alikuwa malkia wa karne ya 17 wa Ufalme wa Ndongo na...
Kesi ya Lissu itaigia kwenye historia kwa polisi kwenda mahakama kuu kupinga dhamana ya mtu aliyeshitakiwa na jamuhuri. Kwa mjibu wa Uhuru la jana na Tanzania Daima la leo polisi wanajiandaa...
Masultani wa Zanzibar waliitawala Zanzibar iliyojulikana kama "Sultanate of Zanzibar" rasmi tangu mwaka 1856.
Sultani wa Oman, Said bin Sultan, aliitawala Zanzibar kutoka Oman, tangu 1804. Kabla...
Wasalaam waungwana!nawasalimu katika Upendo na Amani.
Ndugu zangu Mwl.Nyerere alitufundisha na kutuusia juu ya mstakabali wa taifa letu tukiwa kama nchi changa na maskini kuwa ilituendelee...
Ukitaka, Kunyonga Jamii, Kwamba wanawezaje Kuendeleza Maisha, Uvumbuzi na Elimu na Utamaduni wao? Basi Haribu historia yao. Bila Kujua Historia, Bila Kujua tulikuwa Kina nani, na tulifanya...
HISTORIA YA JOMO KENYATTA NA ABDULWAHID SYKES 1950
Utangulizi
Leo nilipokuwa nikipitia gazeti la Mwananchi (Jumanne Aprili 5, 2016) nilikuta kipande hicho hapo chini kuhusu Jomo Kenyatta:
Si...
Salaamu Wanabodi!
Sote tunawajua wakinga kwa kuwaona tu katika biashara zao! Hawa watu wanafanikiwa sana kibiashara kwa sasa,Ukienda kariakoo wamejaa wao,Mwanjelwa wamejaa wao na kwa sasa ndio...
Musham Mzanda
7 hrs ·
KATIBA TULIYONAYO IKITEKELEZWA KWA 100% RAIS WETU ATALAUMIWA KUWA DICTATOR. . KUMBUKENI KATIBA HII ALIITUMUA BABA WA TAIFA KUWAWEKA DETENTION WAHAINI NA MAFISADI WENGINE BILA...
Marxism–Leninism ni mfumo wa siasa au uliojulikana duniani kama Marxism na Leninism, lengo lilikua kuanzisha serikali za kijamaa na kuziendeleza zaidi. Marxist–Leninists walihodhi mfumo huu na...
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa tarehe 13 April 1922 na alifariki tarehe 14 October 1999, alikuwa rais wa Tanzania alieongonza nchi ambayo ilijulikana kama Tanganyika kabla. 1964 Tanganyika...
Katika Kuhakikisha anatokomeza Uchifu hapa nchini, Mwalimu Nyerere aliwaza kuwapa madaraka mengine makubwa zaidi Serikalini. Katika Kuhakikisha anafanikiwa aliwataka machifu wakagombee Ubunge...
Tarehe 04 July kwa Wamarekani ni siku ya kusheherekea uhuru wa nchi hiyo na siku hii ni ya mapumziko. Miaka 240 iliyopita 1776 tarehe 4 July Congress ilitangaza Uhuru wa makoloni 13 ya Marekani...
VUGUVUGU HILI LA KUTAKA DEMOCRACY IACHWE KUKANDAMIZWA SIO KWA TUNDU LISSU WA CHADEMA AU ZITTO KABWE WA ACT-WAZALENDO TU
HATA KIPINDI CHA UKOLONI NYERERE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.