Mahojiano ya DW na Prof. Ibrahim Noor Shariff Mwandishi wa Tanzania na Propaganda za Udini

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,795
31,806
Prof%2BIbrahim%2Bphoto.jpg

Prof. Ibrahim Noor Shariff
Mwanachuoni wa Chuo Kikuu Cha Rutgers, New Jersey, Marekani, Ibrahim ni msomi wa Sanaa, Tarikh (Historia) na Fasihi ya Kiswahili.​

Prof. Ibrahim Noor Sharif ameandika kitabu maarufu ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' Kitabu hiki kimezusha mjadala mkali katika mitandao ya kijamii kiasi kuwa wakati mwingine yeye mwenyewe Prof. Noor alikuwa akiingia kujibu maswali khasa kuhusu historia ya utumwa unaoegemezwa Zanzibar ambayo yeye mwenyewe ndiko kwao.

Yasikilize mahojiano yake na DW:

://soundcloud.com/mohammed-k-ghassani/mahojiano-na-mwandishi-wa-tanzania-na-propaganda-za-udini-prof-sharif
 
Back
Top Bottom