Mjue Mangi Mandara wa Moshi

Mainus

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
295
238
Kaskazini mwa nchi yetu upo mlima maarufu sana wa Kilimanjaro.Chini ya milki ya mlima huo aliishi Mangi maarufu sana aliyeitwa Mandara ambapo jina lake la pili ni Rindi.
Mandara alianza kuwa Mangi wa Moshi mwaka 1855.Alikuwa Chongo hata hivyo aliweza kufanya kazi zake kiufanisi zaidi.Sambamba na hilo alikuwa na halmashauri ya wazee ,Tama(Hakimu), na Wachili(Akida) ambao walimsaidia katika majukumu mbalimbali.
Pamoja na hayo Mandara alisifika sana kwa umakini wake ,kwani hakuweza kusaini mikataba bandia ya wageni katika utawala wake.
Tutamkumbuka sana Mangi Mandara wa Moshi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom