Alizaliwa nchini Austria mwaka 1889, akaingia shule ya sekondari mwaka 1900 lakini hakufaulu, hivyo alishindwa kuendelea na masomo.
Alijaribu tena kurejea shuleni, zamu hii katika shule ya...
Mzee Said na familia yake nje ya nyumba yake na. 81 Mtaa wa Aggrey
Picha hii imepigwa 1955
Picha hii kaniletea rafiki yangu toka utoto Juma Khube. Kaniambia kuwa huyo aliyesimama ni Mzee Said na...
Habari wanajamvi/wakuu wote humu ndani tunapoweza kuongea bila mipaka
Dodoma mjini kituo cha kati kumekuwa na tabia mtu akikamatwa na kuigia Sero za pale ukiwa na VIATU VIZURI(havijachakaa,bado...
BARUA YA KUJIUZULU UALIMU YA JULIUS KAMBARAGE NYERERE 1955
Nini kilitokea mwaka wa 1955 hadi kumfanya Father Walsh ampe chaguo
Nyerere la kubaki mwalimu au aendelee na siasa?
Julius Nyerere...
Mzee huyu kwa jina Mbah Ghoto kutoka Indonesia anaamini ndiye binadamu mzee zaidi kuwahi kuishi duniani.
Anasema ameishi muda zaidi kushinda wake zake wanne, ndugu zake 10 na wanawe wote...
TAAZIA: HAMZA RIJAL MCHEZAJI WA ZAMANI WA MALINDI ANAMKUMBUKA MOHAMED MSOMALI
Mohamed Msomali
(Picha kwa hisani ya Vijana Wapenda Soka wa Kariakoo)
ASALAAM ALAYKUM!
In Lilahi wa Ina Ilahi...
Katika kueleka Mwaka mmoja wa Magufuri, CCM bado yashindwa kuvilipa vyombo vya habari
Wakati Rais,John Pombe Magufuri akikaribia kutimiza mwaka mmoja tangu achaguliwe kuiongoza Tanzania, Chama...
Zana za watu wa kale (Paleolithic stone tools) zilichimbuliwa katika mapango au majabali, kusini mwa Oman, karibu na Straits of Hormuz, njia muhimu ya bahari kati ya Ghuba ya Oman na Ghuba ya...
Mwalimu Nyerere
1st President of Tanzania
In office
29 October 1964 – 5 November 1985
Vice President Abeid Karume
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi
Prime Minister Rashidi Kawawa
Edward Sokoine...
Kama tujuavyo majina mengi ya miji au sehemu yanakuwa na historia yake au chanzo chake, mimi leo hii naomba kujua maana ya jina mji wa Mtwara.
Ki ukweli ingawa nimezaliwa na kusoma Mtwara lkn...
*Ukweli ni kwamba Gambo anaboa, he's too much. Unazuiaje ziara ya kamati ya mipango miji eti kuna waraka unaozuia? Hujui maudhui ya ziara, tumeooteza open spaces 2 Njiro tunataka kwenda kukagua...
Mwaka 1952, Albert Einstein alipewa nafasi ya kuteuliwa kuwa Rais wa Israel lakini akakataa kwa hoja moja kwamba yeye ni mwanasayansi, asiyekuwa na uwezo wa kushughulika na watu (pamoja na umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.