Pull back from Tanzain Coat of Arms to platform of Victoria Station as train pulls in. MS The Queen & Duke of Edinburgh. President Nyerere from train shakes hands with Queen and Duke, then Prince...
Baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Tanzania kupitia MCC, kumeibuka mijadala mikubwa sana, kuhusu uhalali wa Marekani kufanya hivyo, na ni kiasi gani Tanzania kama inchi inaweza kuathirika...
Nilipata kutizama sinema moja muda mrefu kidogo ambayo ili semwa(based on the true story) ikieleza jinsi ilivyo kuwa,kwanza tutambue wakati wa biashara ya utumwa watumwa wengi walio toka Afrika ya...
Kuna wimbi la kutaka kuandika upya historia ya Australia kwani iliyopo inapotosha. Wanafunzi wamekuwa wakihamasishwa kukwepa baadhi ya maneno yaliyopo kwenye historia ya sasa.
Wanatakiwa kusema...
Mgombea urais marekani Dornald Trump amekuwa akijadiliwa na baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa za kimataifa , kuwa ikiwa atashinda Africa na Dunia zi hatarini
Je, Trump n tishio kwa mambo...
Habari wanajamvi?
Mie shauku yangu kuuubwa naombeni kufahamu
1.Nani mjenzi wa sanamu lile?
2.Dhima yake ilikua ni nini?
3'Kwanini liliwekwa mahala pale na si kwengineko?
Nawasilisha naomba wajuzi...
Mohamed Abdallah Kaujore
Kaujore aliua watu msikitini katika hali ya kuwa alikuwa amelewa akitokea kwenya bar moja karibu na Marikiti.
Kaujore hakuhukumiwa na aliendelea kuwa Memba wa Baraza la...
Boko Haram ni jina ambalo hutumika kulitambulisha kundi lijulikanalo kama “watu waliojitolea kueneza mafundisho ya mtume na jihad” yaani Ahlisunnah Lidda’awati wa’l-Jihad’. Boko Haram ni neno la...
Wanamajlis,
Wakati tunajitayarisha kupiga kura huu ni wakati mzuri sana tukaangalia
nyuma wapi nchi yetu ilipotoka na iliweza kuvuka na kuruka viunzi vipi hadi
Tanganyika ikapata uhuru wake bila...
There is more to the freedom struggle which some of us do not seem to have the inclination to talk or write about.
For example, did you know that Abdul Sykes and the name you read in this Mtemvu...
PIUS MSEKWA NA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Mohamed Said
Earle Seaton na Julius Nyerere
‘’Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuridhisha watu kwa nguvu ya hoja zake...
Toleo la kwanza la kwa lugha ya Kiingereza 1998
Assalam Alaykum Sheikh Mohamed,
Miaka saba iliyopita niliwahi kununua kitabu ulichokipa jina ‘’Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes.’’
Kwa...
Historia ni mwalimu mwema. Historia inamulika kuonesha mwanadamu alikotoka, alipo kwa sasa, na inampa mwanga wa kujua anakokwenda. Ni historia inatuonesha kwamba chimbuko la mwanadamu ni jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.