Tujikumbushe ktk historia huko Iran na pilika pilika zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe ktk historia huko Iran na pilika pilika zao

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by bakuza, Apr 3, 2012.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siku kama ya leo 03/04/2012 miaka 834 iliyopita sawa na tarehe 11 Jamadul Awwal mwaka 597 Hijiria ya mwaka wa kiislamu, alizaliwa Khoja Nasruddin Tusi, mwanafalsafa, mwanahisabati, mnajimu na mwanazuoni mkubwa wa Kiirani katika mji wa Tusi kaskazini mashariki mwa Iran. Katika maisha yake aliasisi kituo kikubwa cha kielimu na akademia ya kwanza ya sayansi yaani mahala pa kuangalilia mwenendo wa nyota, mwezi na jua iliyojulikana kwa jina la Maraghe huko kaskazini magharibi mwa Iran. Aalimu huyo aligundua namna mpya za kutumia saa ya jua kwa ajili ya kituo hicho. Kituo hicho kilikuwa na suhula muhimu zaidi ambazo kwa miaka 300 baada ya hapo hazikuweza kushushudiwa katika nchi za Magharibi.:nod:
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mbona unatunyima utamu Mkuu, endelea kutupa mtindi.
   
 3. Mzee wa ngano

  Mzee wa ngano Senior Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo ndiyo kafika mwisho, ukitaka aendelee atatudanganya.
   
 4. Nelson nely

  Nelson nely JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2015
  Joined: Jan 25, 2014
  Messages: 2,722
  Likes Received: 970
  Trophy Points: 280
  ndo amemaliza?
   
 5. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2016
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  asante
   
 6. N

  NYALUJOYA Member

  #6
  Jun 24, 2016
  Joined: Oct 22, 2014
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  duu jamani kama mna hoja na historian iliokamilika ndiyo muweke sio vipande vifupi na havileti maana
   
Loading...