Je wajua kama vyama vya siasa Democratic na Republic mwanzo kilikuwa kimoja

Pope leo x

JF-Expert Member
May 11, 2016
264
143
Sio mtahalamu sana ila najua wapo wenye uelewa mkubwa sana kwahili naomba watukumbushe vema ilikuwaje,nani katika hao alikuwa anaunga utumwa na nani alikuwa anapiga vita utumwa,karibu jamaa zangu
 
Siku nyingine ukianzisha thread unafanya research kwanza unapata pa kuanzia..sasa myu hata kukusaidia anakusaidiaje wakati mikononi upo tupu?
 
Back
Top Bottom