Pemba ilikua na pesa yake ambayo ikiitwa Pemba rupes

AL-bajouny

Member
Apr 7, 2014
37
8
Zama zimepita wengi wetu hatufaham kua pemba ilikua na pesa yake ambayo ikiitwa Pemba rupes ambayo ilikua na nembo ya karafuu mbili na ilitumika kuanzia 1940 chini ya utawala wa sultan Sayyed wakati huo zanzibar ikijulikana kwa jina is dola ya Zanzibar

1464800309095.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom