Mauaji ya kimbari ya Nama na Herero 1904-1908

Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,790
3,254
Nmesikia katika taarifa ya habari kwenye idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (Deutsche welle ) kuwa ni leo rasmi ndio Ujerumani imekubali officially kuwa serikali yao ilifanya mauaji hayo ya kimbari!

Nikaona ngoja nifanye kaufatiliaji kidogo kuona kipi kilitokea miaka hiyo.. Kwa kweli nmesikitishwa sana na tukio hilo !
 
Mauaji ya kimbari yaliyosahaulika sidhani kama shule zetu zinafundisha, mauaji haya yalifuatiwa na mauaji ya wayahudi wa ulaya ambayo yanafundishwa kila kona.
 
Back
Top Bottom