Hati Nesta Bob Marley aliikumbusha jamii ya Leo kuwa kbla hujaongea na boss vyote tulivyo navyo tumeona vimepotea.
(before we talk to the boss
All that we got seem lost
we must have real paid...
Taja nchi kumi za afrika na ueleze miaka zilizopata uhuru na kiongozi aliyeipatia uhuru, koloni lililowatawala na ueleze lilipata uhuru kwa njia ya amani au vita.
native Americans au red Indians hawa ndio inasemekana kuwa ni wenyeji halisi wa marekani,bado kuna maoni mengi ya wanahistoria na watafiti kuhusu watu hawa,na pia maswali mbali mbali maana...
Mwaka 1929 nje kidogo ya mji wa beijing kwenye mapango ya milima kuligunduliwa fuvu na mifupa ambayo inasadikika kuwa ya binadamu wa kwanza. Kila mwaka sehemu hii hutembelewa na watalii zaidi ya...
Mwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa...
Ingia hapo chini bahati mbaya makala ni ya Kiingereza lakini mjadala tufanyeni kwa Kiswahili:
file:///C:/Users/yemen/Downloads/Tanzania_-_A_Nation_Without_Heroes_abridged.pdf
Mehmet Ali Agca ni Raia mwenye Asili ya Uturuki Aliyefanya Jaribio la Kutaka Kumua Mtakatiku PAPA JOHN PAUL II tarehe 13/5/1981.
Katika Jaribio hilo Mehmet alifyatua Risasi nne kutoka kwenye...
Mwana Mapinduzi
Field Marshal John Okello alizaliwa wilaya ya Lango nchini uganda mwaka 1937.Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen...
Realist believe that reality exist independent of the human mind...Idealism based on spiritual or mental world of appearance ...which is eternal .permanent order .regular and universal...
Hugo Rafael Chaves Frias alizaliwa 28 July 1954 na alifariki 05 March 2013. Alikuwa mwanasiasa wa Venezuea ambae aliitumikia nchi yake kama rais wa 64 wa nchi hiyo kutoka mwaka 1999 mpaka 2013...
Kikosi kazi maalumu kilichoundwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe kupambana na tatizo la ujangili, kimetuhumiwa kutumika na baadhi ya wanasiasa na watumishi mbalimbali wa...
Hawa ni magaidi waliouteka ubalozi wa japani nchi Peru miaka ya katikati ya 90. Waliwashikilia watu zaidi ya 100 kwa miezi kadhaa. Utekaji uliisha kwa shambulizi la makomandoo wa kiperu baada ya...
Muhammad Saeed al-Sahhaf kwa mnaokumbuka vizuri alikuwa ni waziri wa habari wa serikali ya Iraq na alijulikana sana kwa propaganda alizokuwa anapiga.
Wakati ule wa vita ya Marekani na Iraq...
Eneo ambalo linajulikana kama Morocco ya leo lilianza kukaliwa na binadamu Enzi za Zama za Mawe (Paleolithic times), huo ulikuwa kati ya mwaka 190,000 na 90,000 BC. Eneo la Maghreb lilikuwa na...
Makao makuu ya mkoa mpya wa Rift Valley yatakuwa Kondoa. Mkoa huu ulipangwa kuanzishwa mwaka 2000 wakati wa utawala wa Rais Mtukufu Mh. Benjamin William Mkapa. Bahati mbaya waziri Mkuu wakati ule...
Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000.
Nyayo hizo ni...
Leo ni Ulimwenguni tuna Kumbukizi ya heshima Karl Landsteiner mgunduzi wa Makundi ya Damu (Blood Groups)mf. A ,B , O na AB ambayo yanatumika Mpaka leo katika Huduma za Afya ya Mwanadamu...