Naanza kuamini mwalimu Nyerere alikuwa Nabii

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
188
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu". - Mwl. Nyerere 1982.

“Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye “silaha” za kisasa lakini vijana wake ni waoga.”

"Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa."

"..Vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania."


Weka na wewe maneno mengine aliyowaikusema baba wa taifa
 
Kiongozi asiye na vyeti ni kama IBILISI, na anayemtetea ni SHETANI mwenzie - Mwl Nyerere 2017 akiwa kaburini.
 
Back
Top Bottom