Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza:

1. Juma Kidogo
2. Baruti Mwesiga aka Kandambili
3. Profesa Jwani Mwaikusa
4. Regia Mtema
5.
 
Kuna mwingine aliyekuwa anaitwa Felix; alifariki ghafla sana miaka takriban mitano iliyopita huko St Louis Missouri, tukaambiwa alikuwa member wa hapa JF lakini username yake haikufahamika mara moja.

RIP wenzetu wa JF mliotangulia mbele ya haki; mwenyezi Mungu aendelee kuzipumzisha roho zenu kwa amani.
 
muongeze....kipenzi cha Islam.....
lakini kwa maoni yangu.....kama marehemu hawakupenda kujulikana uhalisia wao....why leo tuwafichue hadharani....? mi naona bora tuwaombee walale kwa amani....coz hata tukiwajua leo ni too late.....huo ni mtazamo wangu.....
 
Wazo la kuwataja kwa avatars zao ni zuri, sio vyema kuwataja leo hawapo tena nasi.
Mungu Awapumzishe kwa Amani Peponi waote waliotutangulia - Amin!
 
Ni kweli anvyosema mammamia si busara kuwataja majina yao
Mungu awapumzishe ila tusimsahau yule mwandishi wa channel 10
 
muongeze....kipenzi cha Islam.....
lakini kwa maoni yangu.....kama marehemu hawakupenda kujulikana uhalisia wao....why leo tuwafichue hadharani....? mi naona bora tuwaombee walale kwa amani....coz hata tukiwajua leo ni too late.....huo ni mtazamo wangu.....

very true. Boss wangu akijua ndio mie nam'balasa humu, hata shada la ofisi halitakuja wallah.
 
Back
Top Bottom