Jukwaa la Historia

On JF:

MWAKA 1848, Mmishenari wa Kijerumani Dk Johan Ludwig Krapf, alitembelea kijiji cha Magila kilichopo Muheza mkoani Tanga akiwa katika safari zake za Afrika Mashariki. Magila kuna mlima ulio katika...
3 Reactions
26 Replies
20K Views
Mohamed Said: VIDEO: MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULLA KASSIM HANGA
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii nimekutana nayo mtandaoni, angalia madhara ya Green Guard. Katunews: VIDEO GREEN GUARD WA CCM WALIPOMSHAMBULIA MWANDISHI FREDRICK KATULANDA 2010
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo U.S.A ni siku ya Martin Luther King Jr, kwa heshima yake hapa mimi namkumbuka kwa kutafakari quote yake moja maarufu nayo ni: “We must live together as brothers or perish together as fools.”...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Dhifa ni chakula kinachoandaliwa kutoka tangulizi, mlo mkuu na kufuatia mlo baada ya chakula. Mara nyingi mlo huu huandalaiwa kwa heshima ya mgeni au ugeni na unafuatiwa na hotuba fupi. Katika...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
[5:21 PM, 1/9/2017] +255 687 500 699: Home Monday, 9 January 2017 Waislam wa Burundi katika harakati za kupigania uhuru wa Burundi Si kwamba Waswahili wa Burundi zama za ukoloni...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni kama vile fumbo la imani, kwa wale waamini wa kristu wataungana na mimi kuwa habari za Mungu na uumbwaji wa dunia zilikuja kuandikwa na Musa, na Musa aliziandika kama vile aliziishi ijapokuwa...
3 Reactions
48 Replies
13K Views
SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE: SHUJAA WA KURA TATU NA UAMUZI WA BUSARA WA TABORA Rai Juni 17-23 1999 KIFO cha Abdallah Rashid Sembe kilitokea Hospitali ya Bombo, Tanga tarehe 22 Mei, 1999. Siku...
4 Reactions
37 Replies
9K Views
MUNGU ANAPOTAKA KUKUSAIDIA, ATAKULETEA MSAADA AMBAO HAUKUUTARAJIA KABISA hili tukio lilitokea June 2005, huko ETHIOPIA lakini nimeshangazwa kuwa very popular hivi karibuni. "Binti wa miaka...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari, Hii video imechukuliwa wakati Mwl Nyerere alipoenda Zambia na kukutana na rais wa wakati huo CHILUBA, ambaye alikuwa kamfunga Kaunda, Mwalimu Nyerere akaomba dakika 40 za mazungumzo na...
5 Reactions
33 Replies
11K Views
Mwanahistoria Tunaomba utuleteee Historia ya Mzee Ali Hassan Mwinyi tafadhali na sio haya mambo ambayo yamekuwa diluted tunayopewa na magazeti alikozaliwa career yake familia yake ilikuwaje...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Anaitwa Hadija Bint Kamba, Bint mrefu mweusi mwenye umbo lililosadifu unyamwezi, asili yake ni Tabora ndipo alipotokea Baba yake na Kigoma ndipo wazazi wa Mama yake walipotokea. Ni kama ilivyo...
9 Reactions
22 Replies
6K Views
1698 - 10 Dec 1963 c.1918 - 1955 British Resident's flag ! 1955 - 10 Dec 1963 British Resident's flag 10 Dec 1963 - 12 Jan 1964 12 Jan 1964...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Sheikh Ali bin Saleh Picha kwa hisani ya Hamzah Rijal Utangulizi Hamzah Zubeir baada ya kusoma post. ''Liwali Ahmed Saleh na Sheikh Said Chaurembo,'' ameniandikia kufanya masahihisho kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini wanajf, katika pitapita zangu huku kanda ya ziwa( Mwanza) nikakutana na kabila la wakara, ambao nasikia kuwa ni watata sana ktk mila yaani wanafuga mamba na ukiwazingua tu hunywi maji...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
https://www.google.com/amp/mobile.nytimes.com/2016/12/16/us/politics/hillary-clinton-russia-fbi-comey.amp.html?client=ms-android-samsung
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chifu Mkwawa asingejiua bila kusalitiwa. Kama si usaliti wa mtu aliyemwamini, Wajerumani wasingemuweza Mkwawa. Historia nyingi zinaandikwa uongo ili Wazungu waonekane mashujaa wa vita, ila ukweli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utangulizi Rafiki yangu Abubakar Shani kaweka katika group letu ''Kumbukumbu,'' kipande cha gazeti la Mwangaza la Oktoba 5, 1956 ikimuonyesha Liwali wa Dar es Salaam wa wakati ule Ahmed Saleh...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom