Hv ni kweli udikteta ndo unaharakisha maendeleo Kwa taifa?? Kama ni kweli tusaidiane hata mifano mitano na kuelimishwa Kidogo juu ya hili, na ni udikteta wa aina gani huo ili viongozi wanapoonyesha tuwaunge mkono???
Naombeni wanaojua waongee kwa evidence na sio siasa za kupigana vikumbo....
Nawasilisha
Naombeni wanaojua waongee kwa evidence na sio siasa za kupigana vikumbo....
Nawasilisha