bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,958
Kwa kuhusika kwake na kuimaliza iliyokua East African Muslim welfare society{EAMWS} na kuundwa kwa BAKWATA kama mbadala wa EAMWS .
Baraza jipya lililorithi "majukumu" ya EAMWS lilihakikisha miraji yote iliyokua ya EAMWS inakufa kabisa.
Miradi yenyewe pamoja na shule za sekondari ni uanzishwaji wa chuo kikuu cha waislam hela za mradi tayari zilipatikana kutoka Misri.
BAKWATA haikua na nguvu tena ya kuwaongelea waislam sababu imewekwa na Serikali.ikabaki kua simba wa karatasi.
Harakati za kueneza uislam zikakoma na hatimaye Pwani karibia yote ya Afrika Mashariki ikaupokea Ukristo mikono miwili.Na hili kwa mujibu wa katiba ya 1957 ndio jukumu la EAMWS.
Kwa jinsi EAMWS ilivyokua imara mpaka Babu akastuka na kuizima uislam ungesambaa nchi nzima na hatimae kuitangaza Tanganyika (baadae Tanzania) kama nchi kidini.Jambo ambalo lingezuia uwepo wa jamii ya sasa ya Watanzania wasiobaguana kwa misingi ya kidini.
Julius Kambarage Nyerere alifanya makubwa kwa nchi hii akumbukwe milele.Ingekua nchi ya Kidini leo hii uhuru na kuheshimiana kati ya dini zote usingekuepo.
Heko the original JK.