Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,567
- 13,542
"UPINZANI UMEPOTEA TOEN HOJA ZA KUWAHUDUMIA WANANCH WALIO WACHAGUA" nashangaa sana kusikia wabunge wa chadema wamejiandaa kuwasha moto katika bunge linalo anza 04 april , kuhusu mh; paul makonda, nashangaa sana tena sana yani wanashindwa kupelekeka matatizo ya wananch walio wachagua ili kutatua kero zao wao wana mwangaikia MH; PAUL MAKONDA, wananch wana njaa , wananch wanatumia maji yasio salama, wanafunz awana madarasa ya kutosha majimbon mwao, wananch awana hospital majimbon mwao , barabara mbovu, wao wanapoteza mda kwa sababu ya MH; PAUL MAKONDA , WAnanch wanaangaika kila kunapo kucha , wao wanapiga makele ambayo ayana tija kwa wananch wao , wananch 2naitaji kuona wabunge wanapeleka changamoto za wananch bungene , SUALA LA MH; PAUL MAKONDA wamwachie rais kwan rais ndie mwenye mamlaka ya kutengua uongoz wa juu kama wa mhe; makonda , WITO; sisi atukuwachagua kwenda kupiga kelele wala kususia bunge ; TATUENI MATATIZO YA WANANCH ATUTAKI KELELE ,2OEN OJA ZA KUTATUA MATATIZO YETU