ZUBERI MTEMVU: MPANGAJI MIKAKATI WA TANU NA MUASISI WA UPINZANI
Rai Oktoba 28 - Novemba 3, 1990
=======
Alhaj Zuberi Mwinshehe Manga Mtemvu
Mpangaji mikakati wa TANU, mhamasishaji wa umma...
Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo.
Wachagga ni...
Naanza kwa kusema kuwa X-mass ya mwaka huu n y kukaa hme na familia. Tangu niwe na akili y kufahamu sikukuu ya mwaka huu cjawah kuiona aisee je ww una maoni gani
Habarini wakuu ningependa kujua sababu za ujenzi na upanuzi wa makazi ya wayahudi ambao kwa muda mrefu sasa umekua ukiendelea kama una majibu tafadhali naomba unielimishe nielewe.
Heshima sana wanajamvi,
Gazeti la Raia mwema limekuwa likichapisha makala ya Kachero wa jeshi la wananchi (JWTZ) aliyetekwa Uganda pamoja na wanajeshi wengine wawili ambao waliuwawa na majasusi...
NAKUSAHURI USOME KWA MAKINI SANA UJUMBE HUU UNA MAANA KUBWA SANA....
SIKU FERDINAND MARCOS ALIPOKUFA ILIKUWA SHEREHE YA KIHISTORIA NCHINI UFILIPINO.
Na Luqman Mloto.
Enzi nikisoma shule ya...
Shambulizi moja la bomu nchini Uturuki limewaua
wanajeshi 13 waliokuwa ndani ya basi na
kuwajeruhi wengine 48.
Mlipuko huo uliharibu basi hilo ambalo lilikuwa na
wanajeshi waliokuwa wameruhusiwa...
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon
amedokeza kuwa huenda akawania urais nchini
mwake, Korea Kusini.
Muhula wake Ban kama katibu mkuu wa Umoja wa
Mataifa unakamilika mwisho wa mwezi huu...
Attention attention kama una calenda ya mwaka 1995 basi haina haja ya kununua ya mwaka 2017 kwani zimefanana... Hii ni kwenda sambamba na bajeti ya uongozi wa awamu ya 5...chukua mark pen...
''And Julius Nyerere is the man who is going to lead us to independence...''
''Has any one of you ever heard of Nyerere?'' He asked. No one answered.
''Black stand for the people, green...
Ndugu zangu,
Moja ya ahadi za Mwana-TANU ilikuwa;
" Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko." Tatizo la fitina na majungu miongoni mwa viongozi wa TANU enzi hizo na sasa CCM ni moja ya mambo...
Nimesikia kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mh.Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Nasikia Mzee Mwinyi alijiuzulu uwaziri Kwa kuwajibika.Nauliza in tukio gani lilisababisha...
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA NCHI YA ZANZIBAR.
Maajabu ya serikali na chama cha mapinduzi CCM, ni kawaida kwao kuyatukuza mapinduzi ya Zanzibar na kuupuuza Uhuru wa nchi hiyo...
Nimegundua kitu kimoja katika tabia za watu wanaoishi kwa hofu ya kusema kweli wakiogopa labda wenye mamlaka wanaweza wakawadhuru. Wataujua ukweli lakini hawatausema hadi wasikie mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.