Jukwaa la Historia

On JF:

Habari zenu wanajukwaa ninaomba kufahamishwa vizuri juu ya haya makabila makubwa mawili ya Tanzania wasukuma na wanyamwezi yanauhusiano gani kihistoria , nawasilisha .
1 Reactions
104 Replies
41K Views
Nipo naangalia azam two hapa naona namna historia inavyofichwa na nadala yake kutaja historia ya mwalim tu maana tangia aanze anataja taasisi km AA,TAA lakini hataji viongozi wake na badala yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wanaoijua vizuli historia ya marekani hasa nyakati zile watu weusi walipokuwa katika ubaguzi mkubwa wa rangi je nani alikuwa kinara mkubwa wa kuendesha mikutano mizito ya kupinga ubaguzi...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Wabunge wa tanzania wamechachamaa baada ya kuambiwa kuwa huwa wanasinzia bungeni. Maneno ya Makonda yameonekana ni ya dharau na yenye kuzalilisha bunge, Sioni utofauti kati ya swala la Makonda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utangulizi: Mnamo June 2, 1978, serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Julius Nyerere, uliamuru Umoja wa makampuni ya Kiingereza yaliyojulikana kama Lonrho Limited, kuondoka nchini. Sababu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
tafadhali unaombwa sana kuichangia timu yako ya LIPULI FC kwa namba zifuatazo 0713446699 au 0754695874… asante sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tundu Lissu agoma kula Tundu Lissu agoma kula - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanasema katika watu duniani ambao wana Photogenic na wanayo encyclopaedic memory ya mambo ya soka Tanzania ni Alhajj Captain Malik. Je ndugu yetu Mohammed Said unaweza kutufahamisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shikamoo “Shikamoo ….” Every time I use this word, it’s almost as if I can feel the pain of Africa. The reason lies in the meaning of the word, “I am beneath you” said to the thieving, slave...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mto huu Wa magole uliopo mkoa wa morogoro ni mto wenye historia ndefu ambayo huongoza kuhama hama sana. Mto huu umetokea katka vijiji mbalimbali vikiwemo mkundi na vingine. Mto huu wa Magole kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba wa taifa mwaka 1995 wakati wa kampeni za kumnadi Mkapa alisema hawezi kuiacha nchi yake iongozwe na mbwa,wengi hawakumuelewa kipindi kile kwa kudhani alimaanisha wapinzani hasa Mrema ambaye...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
JAMBAZI MWENYE AKILI ANAYEKARIBIA KUTOKA GEREZANI Mwaka 2021 ulimwengu utashuhudia mmarekani aliyefanikiwa zaidi kutekeleza matukio ya ujambazi akitoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
TUNU YA UKEREWE Na Omari Abdallah Makoo Wilaya ya Ukerewe ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 261,944 Eneo la wilaya...
6 Reactions
34 Replies
11K Views
Ni miaka 50 sasa tangu kutangazwa kwa Azimio la Arusha. Siku kama ya leo 29/01/1967 Kamati Juu ya Chama cha TANU iliyoketi kwa siku tatu (26-29 Januari 1967) ilitoka na Azimio moja la kuasisiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Alexander Graham Bell Using the First Telephone Mawasiliano ni jambo ambalo sasa mtu akilikosa anapoteza mambo mengi sana, Upande wa simu sasa tumefika mbali sana kimaendeleo kwani ndio...
4 Reactions
9 Replies
12K Views
Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu? Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu mimi nimekuwa na maswali mengi juu ya muumba wa mbingu mpaka sasa sijapata kujua kwa kina historia ya Mungu. Nimeamua kuuliza kwa sababu naona kama namkosea Mungu kwa kukaa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wote wenye mafanikio makubwa katika maisha wamekua ni watu wenye PLAN B mfano Donald Trump alipoulizwa atafanya nini akishindwa kupata urais akajibu atajikita katika biashara zake, Lowassa...
1 Reactions
0 Replies
969 Views
Jack Ma ni mwanzilishi na mwenyekiti wa mtandao mkubwa wa Alibaba. Ningependa kujua historia fupi ya ALIBABA na jinsi alivyofanikiwa kuteka soko la mtandaoni. Karibuni kwa michango zaidi juu ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Huo ni muhtasari wa kile ambacho Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (Fine & Performing Arts) ambaye pia ni mchoraji mahiri, atakizungumzia wakati wa maonyesho ya kazi za sanaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom