Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
kipindi nikiwa ninasoma nilifundishwa ya kwamba wakoloni walitunyanyasa sana africa, tulipigwa na kuteswa na wazungu lakini mbaya tulibaguliwa kutokana na rangi zetu .
ukisoma vitabu vya historia vinasema waafrica tulibaguliwa sana na wazungu ilifikia wakati kulikuwa na shule za wazungu, wazungu walionekana wakitumia rasimali za africa kujinufaisha wao na familia zao huku wafrica tukiendelea kuwa masikini.
Baada ya miaka kwenda mbele sasa nimekuwa mtu mzima na kila nikiyangalia maisha ya sasa nashidwa kutofautisha na yale ya mkoloni , hapa nina maana hadi sasa ninaona mambo yako vilevilee hadi inafikia hatua unaona kabisa wanaonufaika na utawala baada ya mkoloni ni wale ambao wako ndani ya system .
ukiangalia nchi kama kongo, rwanda,uganda, zimbabwe licha ya kuwa na mkataba wa kuachiana madaraka viongozi bado wanang'ang'ania madaraka huku wananchi wa hali ya chini wakiendelea kuzidi kuwa masikini wakati wao wakiendelea kufaidika zaidi.