Wilaya ya Makete ina Makabila manne(4)

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,956
6,551
Wazawa wa Makete wakiwa nje ya Makete wanajitambulisha kuwa wote ni Wakinga.
Ukweli ni kwamba kuna makabila manne ambayo ni Kinga,Wanji,Magoma na Mahanji.
Wakinga ndio wengi kuliko makabila mengine salamu yao ni Mapembelo vavene,wakati upande wa makabila mengine hakuna hii salaam pia lugha hazifanani
Sio kweli kuwa kila mzawa wa Makete ni Mkinga
 
Na sio wakinga wote Ni wajukuu WA mwakipande
Na sio wakinga wote alhamisi Ni siku Yao ya kuabudu mungu WA kikinga
Na sio wakinga wote Ni wabahili
Na sio wakinga wote wanajua kupika usuge na delega
Na sio wakinga wote wanajua kupika maandazi ya kikinga, aumkate WA kikinga almaarufu tuntemeke
Na sio wakinga wote wanalisha wagonjwa kiporo cha usuge au kupasha kiporo cha ngonjwa mpaka kiishe pale ikonda hospitali
Sio wakinga wote wanalisha mfyele tetere ili atoe maziwa mengi
 
Mamaya nilifikiri wewe ni mtu wa Rombo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom