Nukuu za general Sun Tzu.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,939
Sun Wu au Sun Tzu (master Wu) alikuwa general wa jeshi miaka ya 500 BC. anafahamika zaidi kwa kuandika kitabu cha mbinu za kivita kiitacho The art of war. hii ni baadhi ya nukuu nzuri kutoka humo. mbinu zake leo hutumiwa michezoni, kwenye biashara, jeshini etc. hii nukuu ndiyo naipenda zaidi.

817732.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom