Obi kwa Mohammed Said tutee history ya Captain Malik ( Encylopedia)

SAUL BERENSON

Senior Member
Jan 31, 2017
150
154
Wanasema katika watu duniani ambao wana Photogenic na wanayo encyclopaedic memory ya mambo ya soka Tanzania ni Alhajj Captain Malik.

Je ndugu yetu Mohammed Said unaweza kutufahamisha kuwa inawezekana vipi mtu akawa na memory ya ajabu kama huyu Mzee?

Na kwa nini watu wa National Archives au TFF hawajatengeneza documentary naye ili kupata undani wa soka ilivyokuwa miaka ya 1940s,50s,60s,70s na 80's?

Kwenye kind hilo hilo naomba nimwongeze Kaka yetu Alhajj Ugundo pia

Kama kuna youtube au any audio tafadhali tupatie link

Pia kwa kuwa siku hizi kuna storage kubwa kwenye cloud naomba mhifadhi hizi data online pia kaka Dropbox na google drive
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom