IN GOD WE TRUST.....Jamaa Alianzisha Alibaba Akiwa Hajui Chochote Kuhusu Internet Zaidi Ya Kuiona Marekani.
Hata Aliporudi Kwao China Na Kuwaalika Marafiki Wajadili Namna Ya Kuanzisha Project Ya Alibaba Wakamwona Kama Chizi, Wakasepa Isipokuwa Mmoja Tu Ndo Kamtia Moyo
Jack MA Katoka Kuwa Mwalimu Wa Kiingereza China Mpaka Kuwa Mabilionea Wakubwa Ulimwenguni Baada Ya Kusota Kwenye Interview Na Kukosa Kazi Kwa Muda Mrefu
haaaa boya tena humdhaniaye siye kwa kwelNiliwahi kumuona jamaa live mwaka juzi alikua anafanya shooping New South China Mall ya pale Guangdong msafara wake wa kawaida ila wachina walikua wanamshangaa sana ikibidi na mimi niulize huyu boya ni nani?