Martin Luther king Vs Marcom x

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
610
698
Kwa wale wanaoijua vizuli historia ya marekani hasa nyakati zile watu weusi walipokuwa katika ubaguzi mkubwa wa rangi je nani alikuwa kinara mkubwa wa kuendesha mikutano mizito ya kupinga ubaguzi wa rangi kati ya Martin king Jr and Marcom x iliyokuwa inaiyumbisha hadi serikali ya marekani katika kipindi cha John Kennedy miaaka ya 1962's
And what is your opinion and best speech ever to you in history of negro revolution between the following
1.MALCOLM X
former slave and the former slave master
2.MARTIN LUTHER KING
-I have been to the mountain top
-l have a dream
 
Hao ni watu muhimu sana katika historia ya mtu mweusi mmarekani, Malcolm na Luther waliokuwa na tofauti kubwa juu ya nama ( means) ya kufikia lengo kuu yaani watu weusi kupata haki zao. King jr alikuwa anaamini katika njia amani kupata haki, wakati Malcolm alikua anaamini katika njia yoyote inayohitaji "any means neccessary" na msemo wake maalumu ni haki haiombwi bali inachukuliwa, right is not given, is taken. Pia King jr alikuwa anaamini katika greater Americanism, yaani marekani ya wazungu na weusi, Malcolm alikua haamini kama mtu mweusi anaweza kupewa haki na mtu mweupe hivyo njia pekee ni weusi kuunda taifa lao( black separatism). Katika muktadha wa Kiafrika King jr alikuwa anaamini katika umoja wa wamarekani, Malcolm yeye alikuwa anaamini katika umajumuhi wa kiafrika yaani pan africanism
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom