pozzy
Member
- Jan 20, 2017
- 78
- 26
Jamani ndugu zangu mimi nimekuwa na maswali mengi juu ya muumba wa mbingu mpaka sasa sijapata kujua kwa kina historia ya Mungu.
Nimeamua kuuliza kwa sababu naona kama namkosea Mungu kwa kukaa najiuliza maswali juu yake.
Kwanza mimi huwa nadhani Mungu ni wale watu wa mwanzo ambao waliweza kuanzisha herufi A,E,I,O,U na kuziunganisha kutengeneza majina ya viumbe mahali n.k
Pili mimi huwa nadhani pia Mungu ni wale tunaowaita great thinkers ambao wao walikuwa wanaanzisha mada flani na kuifanyia ufumbuzi kwa mfano akina Makonkofu, Sir Newton,Abort na wengine wengi.
Lakini nikirudi kwa upande wa evolution of man na penyewe nabaki katikati kama ifuatavyo kama mungu ndo aliumba mbingu na dunia je yeye alitoka wapi?????
Pili kama binadamu alidevelop from apes, monkeys, Gollira mbona bado hao viumbe bado wapo na hawabadiliki?????
Kama pia binadamu alidevelop from dead organic matters mbona wasibadilike hadi leo???
Mwisho kinachonipa wasiwasi kutokana na culture tunaambiwa tulikuwa na njia yetu ya kuabudu miungu lakini wakoloni walipokuja wakaja na hyo mbinu ya kuabudu mungu pia huwa kuna msemo unaotumika kanisani kuwa siku moja watu wote waliokufa watafufuka mbona hyo siku isitokee?????
Basi mimi naomba mwenye uelewa vizuri juu ya mungu anielezeee.
NB: IMANI NI KUBWA KULIKO DINI