Kwa nini Wachagga,Wanyamwezi na Wahehe wawe na Machine lakini sio Wa Digo?

Samvulachole

JF-Expert Member
Oct 22, 2006
413
118
Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu?

Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15

B-ClmYhCQAAmlmk.jpg
 
Post yako na kichwa cha habari pamoja na picha hata haviendani, jipange upya ulete uzi unaoeleweka
 
Sasa kama hukusoma shule ya msingi mifumo ya uongozi wa jamii zetu zamani tukusaidie nini zaidi ya kukushauri kurudi MEMKWA?
 
Back
Top Bottom