Tundu Lissu agoma kula

"Mhe Lissu ameendelea kushikiliwa na Polisi bila kufikishwa mahakamani. Hajafunguliwa mashtaka yeyote hadi sasa na Polisi wameendelea kumkatalia dhamana. Unyanyasaji huu dhidi wa wawakilishi wa wananchi na viongozi wengine wa chama unatia doa kubwa demokrasia katika nchi yetu. Baada ya mashauriano na Mhe Lissu na familia yake, chama kimeridhia na kimeafiki Mhe. Lissu kuanza rasmi mgomo wa kula chochote (hunger strike) hadi hapo atakapofikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka rasmi" alisema Freeman Mbowe

Wazo binafsi: Sala ni kuwa huyu afe, sasa anapoacha kula, si lengo lao litakuwa limetimia? najaribu kuwaza mbele kidogo
 
Back
Top Bottom