Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Inawahusu wale walioomba Certificate and Diploma programmes kupitia NACTE
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habr wana jf tukiwa tunaendelea na maombolezo ya taifa naomba kuleta hii kero yangu hii hum ndani Km kichwa kinavyo jieleza NACTE wamekuwa wazembe na wavivu sana ni heri wafutwe ili hata kam ni...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama title inavyoeleza,nipo kidato cha sita PCB ,somo la biology kwangu limekua ni tatizo kidogo.Kila ninapofanya mtihani marks zina range 45_60,licha ya kwamba biology ktk combination yangu ndio...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
e
.l44
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Naona baadhi ya vyuo wametoa taarifa ya kuanza registration msaada kwa waliomaliza registration plz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
[emoji120]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kupitia shule zilivyofanya vizuri sijaona A wala B za Physics!Hata aliyeongoza ni PCM mwenye A in Chemistry and Math na C ya Physics.Kumetokea nini kwenye hili somo wakuu?Mtihani...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Wakubwa naomba kujua, career ya uhifadhi katika mbuga za wanyama au mapori ya akiba inahitaji msomi alisomea fani gani ama course gan....na je ni vyuo gani hapa Tz vinatoa mafunzo hayo?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Daaa nawakumbuka sana awa jamaa walio somaaa memkwaa ...wanakuwaga wakolofii sana yaaniii si wanakuwa wakubwaa ..nimesomaa shule moja ivii inaitwaa ''azimio pr skul mwaka 2005 kuna jamaa alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iwapo unataka kumfukuza au kumtoa mtu nje ya nyumba au jengo je utamwambia Toka ndani? au toka nje? Nitashukuru kwa msaada Ahsante
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna kijana huyu: NASWIRU TWAHIRI TIBANYENDELA tibanyendela@sua.ac.tz (2018GBJ002671 1981 10 08). Sjui kama mnamjua au tunaweza kumfikishia taarifa. Amekuwa akitakiwa akaripoti chuo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hiii picha ni ya mwaka 1888 ikimuonyesha bwanna JS Kenn akitoa adhabu ya fimbo kwa wanafunz nchini Australia. Utaratibu wa kuwaadhibu wanafunzi kwa fimbo ulienea katika makoloni ya Uingereza...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wanaukumbi, Nimekaa nikatafakari sana. Kuna wanafunzi wengi sana nchini wanavigezo vya kusoma elimu ya juu lakini hawana vigezo vya kupata mkopo toka bodi ya mikopo. Je wakatize ndoto...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna dogo alipata 3 akaapply diploma, lakini kila nikimuuliza anasema majina hayajatoka. Hivi ni kweli au ananipiga kamba?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UNAKIKOSAJE KITABU KAMA HIKI KWA MFANO!! Kitabu hiki ni kizuri sana kwa wanafunzi wa ngazi zote. Lugha yake na mifano iliyotumika inamfanya mwanafunzi kuelewa kirahisi na maelekezo yaliyotumika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Walio confirm udsm
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama ilivyokuwa toka kitambo kwa kijana wa kitanzania akimaliza form six na akabatika kupata nafsi ya kujiunga na chuo huona km sasa yeye ni specially kwa mambo yote ya kisomi na kijamii...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Habari Vijana someni sana muwakilishe Tanzania nje ya nchi maana nimegundua huku pentagon ninapofanya kazi sasa hivi kama Electrical engineer kuna mtanzania mmoja tu ambaye ni Mimi. Jitahidini...
12 Reactions
124 Replies
13K Views
Niulize swali lolote lile kuhusu literature nami ntakujibu
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimepata kufundisha shule tatu za kata aisee Kwa watoto hata ufundishe mmoja mmoja hawaelewi mpaka wanatia hasira.mnao fundisha shule za kata nipeni maujuzi mnafanyaje wenzangu.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom