Huu Uzi maalumu kwa watu tuliosoma UDSM Na MUHAS tuu tena kwa kuongezea ni science subjects kwa wa UDSM... Tuje kushare mawazo ya maisha yalivyo now Na ugumu wa shule tulizopitia.. please Kama...
Huu sio ugwana kabisa chuo cha serikali tena kozi ya certificate inalipiwa million 3 na sehemu huu ni unyanyasaji au chuo hiki kimejengwa kwa ajili ya watoto wa vigogo tu viongozi wa juu wa...
Habari wanajamvi....kuna yeyote Mwenye ufahamu kuhusu walimu walioajiriwa mwezi June / July wa Shule za msingi mwaka huu 2018 kuwa hawajaingizwa kwenye mfumo wa ulipwaji mishahara (Payroll) ...Na...
Habari wakubwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nilikua naomba ushauri wenu nataka niende nika somee kilimo je nime fanya chaguo sahii naomba ushauri wenu wapendwa
Karibuni hivi first year waliodahiliwa na kupata vyuo mbali mbali hapa tz na kule znz wataripoti. Ila mara nyingi huwa na shobo nyingi sana wawapo vyuoni.
Tunakukumbusheni kuwa mkae mkijua huku...
HABARI WANA JF NATUMAINI MKO WAZIMA WA AFYA
→NAOMBA ANAYEJUA GRADE ZA ADVANCED LEVEL ZINAZOTUMIWA NA BARAZA LA MITIHANI ANIANDIKIE HAPA.
A→......up to......
B→......up to......
C→......up...
KITU CHA MSINGI AMBACHO BADO NI KIGENI KWETU.
Habari za wakati huu watanzania hasa wadau wa maendeleo na technolojia.
Kuna kitu kidogo napenda kuwafahamisha.
Katika sekta ya viwanda hasa katika...
Nakumbuka Enzi Za Secondary Mwalimu
Anatufundisha Topic Flan Kwa Ufupi Then
Anatuambia '' UKU TUNAWAGUSIA TU
MKIFIKA CHUO MTAFUNDISHWA ZAIIDI''
Tulivo kuwa Chuo Lecture Alituambia
''NAWAGUSIA...
1. POLICE-Prevention of Law and Investigation of Criminal Events(Hii ni kirefu cha kimataifa)
2. CRDB-Cooperative and Rural Development Bank
3. PPRA-Public Procurement Regulatory Authority
4...
Nashangaa sana nna wadogo zangu wawili wamesomea ualimu lakini cha ajabu kwenye zile application za miezi kadhaa ilopita mmoja kachaguliwa kua mwalimu pwani na akiwa na GPA ya 2.9 AF mwenye 3.8...
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza...
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.