Literature in English

Literature in English

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
475
Reaction score
603
Niulize swali lolote lile kuhusu literature nami ntakujibu
 
Naweza kupata kitabu cha A MAN OF THE PEOPLE ???

Nataka nijikumbushe ile fasihi tamu sana.
 
using any novel of your choice discuss the issue of personal identity.

mkuu tirirka point zisizo pungua tano na mifano ya kutosha ahsante.
 
Beautifuly ones are not yet born , naona dereva na konda wazivyo jali abilia , bila kusahau hali ngumu ya maisha ya wanaichi.this novel is relivant to tanzanian
Contex.
 
Mhenga wa form five na six mwaka gani mkuu. Tunao man of the people= enemy of the people na enemy of the people = man of the people wengi nchini Tanzania kuliko Wakati wote
Naona unamzungumzia chifu nanga .
 
Hiki sikukisoma.niulize kuhusu a man of the people na beatifuly ones are not yet born.
 
Mkuu naitaji readings zifuatazo
1.The lion and the Jewel
2.The Concubine
3 Girls at the war
4 The Old man and the medal
5.Houseboy
 
Mhenga wa form five na six mwaka gani mkuu. Tunao man of the people= enemy of the people na enemy of the people = man of the people wengi nchini Tanzania kuliko Wakati wote
Hahahaaa

Mimi ni muhenga wa zamani sana.

Kuna machifu Nanga wengi sana nchini wasio na maarifa lakini ndio viongozi.

Fasihi ni kazi inayoishi milele.

Kile kitabu ukikisoma ni kama kimeandikwa jana.
 
Hizo zinapatikana mkuu, ndo texts izo ndo zinatumika sana kujibia 024, niambia upo mkoa gani
1.The lion and the Jewell
2.The Concubine
3 Girls at the war
4 The Old man and the medal
5.Houseboy[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom