Hivi nje ya HESLB nani anaweza dhamini elimu ya juu nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nje ya HESLB nani anaweza dhamini elimu ya juu nchini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Scolari, Dec 8, 2009.

 1. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanaukumbi,
  Nimekaa nikatafakari sana. Kuna wanafunzi wengi sana nchini wanavigezo vya kusoma elimu ya juu lakini hawana vigezo vya kupata mkopo toka bodi ya mikopo.

  Je wakatize ndoto zao za kielimu hususan kama wanatokea familia duni ambazo haziwezi gharamia elimu kama elimu ya juu?

  Ninayo mifno hai ya watu wanaohitaji fursa hawajui wapi haswa wakabishe hodi ili waweze kusonga mbele na masomo yao.

  Nipeni njia.
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Andika proposal, i-present kwenye balozi mbali mbali unaweza kupata ufumbuzi!
   
 3. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanzania tuna matatizo ya kimfumo.kwa mfano pale Udsm kuna wanafunzi wengi sana ukiagalia historia zao wamesoma shule za gharama kubwa sana na wengine kuliko hata zile wanazotakiwa kulipa chuo kikuu.
  mfano mimi nina rafiki zangu wengi wamesoma Shule kama saint Francis,Marigoreti na Marian Girls katika shule hizo ada ni zaidi ya Milioni moja na Nusu kwa mwaka hivyo mzazi alilipa ada hiyo kwa miaka 6 ambayo ni zaidi ya milioni 9.
  Leo hii mtu huyo anosoma Bcom pale Udsm analipa 1.3M kwa miaka mitatu ni 3.9Milioni,hivi wanajamii ni kweli linatuingia akili mtu huyo nae anahitaji mkopo toka iitwayo Bodi ya Mikopo ya elimu ya JUU?ila kutokana na mfum mbovu ulipo nchini watoto hawa pia wanalilia mkopo na wako wengi sana kwani hawa ndo waliosoma shule ambazo zina nafasi ya kufaulu kuliko wale waliosoma kule Longido ambako hata umeme hakuna!!!
   
 4. f

  fabian donatus Member

  #4
  Jan 11, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si waaliki kuwa watu wa kusoma tu na kuyaacha bali nawaalika kutafakari kwa kina kisha kutekeleza kwa vitendo. HESLB ,MAENDELEO ya Tanzania yanategemea wasomi wa hali ya juu ili kupambana na mwendo wa kasi wa sayansi na teknologia .Watanzania walio wengi hawawezi kumudu garama za kupata elim hiyo,istoshe wengine hukosa hata nauri ya kutoka kwa kwenda chuoni.
   
 5. f

  fabian donatus Member

  #5
  Jan 11, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HESLB ,ushauri wangu ni kwamba kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo wapewe 100% ili kuwawezesha kupata elimu bora na isiwe bora wapate elim.
   
Loading...