moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Ndugu zangu kuna kijana huyu:
NASWIRU TWAHIRI TIBANYENDELA
tibanyendela@sua.ac.tz
(2018GBJ002671 1981 10 08).
Sjui kama mnamjua au tunaweza kumfikishia taarifa. Amekuwa akitakiwa akaripoti chuo alichopata ili kusoma, lakini Chuo kinamtafuta mpaka sasa bila ya mafanikio. Chuo wanasema kijana huyo mwenye email ya hapo huu hawajibu emails zao. Chuo chenyewe ni China Academy of Agriculture Sciences. Tunaomba tumsaidie huyo kijana ili APATIKANE akasome. Na hatimae Tanzania yetu ije kupata mtaalamu. Wasalam - Mwanafunzi Kiongozi nchini China.