Msaada:Ipi ni sahihi hapa

Msaada:Ipi ni sahihi hapa

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
Iwapo unataka kumfukuza au kumtoa mtu nje ya nyumba au jengo je utamwambia
Toka ndani? au toka nje?
Nitashukuru kwa msaada
Ahsante
 
Mods samahani naomba muuhamishie huu uzi jukwaa la lugha,nilikosea kuweka huku
 
Ukimwambia toka nje maana yake yeye yupo nje so atoke kule nje aingie ndani
 
Natokea mwanza, niko Dom. Kisha nitatoka Dom kwenda dar.
Dom ndo kama ndani kwa sasa, dar ni nje. Hivyo toka Dom, nenda dar.

Kwa mantiki hiyo, utasema "Toka ndani" au "Nenda/Enda/Kwenda nje, kama mtu ambaye yuko ndani na kinyume chake kama yuko nje.
 
Back
Top Bottom