Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,111
- 1,920
Nimejaribu kupitia shule zilivyofanya vizuri sijaona A wala B za Physics!Hata aliyeongoza ni PCM mwenye A in Chemistry and Math na C ya Physics.Kumetokea nini kwenye hili somo wakuu?Mtihani ulikuwa mgumu?Walimu hawakuwaandaa vizuri wanafunzi?Wanafunzi hawakujiandaa vizuri?Format haikufuatwa in paper 1 and 2?Tatizo ni nini?Naomba tujadili wadau wa physics