yuga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 376
- 265
Habr wana jf tukiwa tunaendelea na maombolezo ya taifa naomba kuleta hii kero yangu hii hum ndani
Km kichwa kinavyo jieleza NACTE wamekuwa wazembe na wavivu sana ni heri wafutwe ili hata kam ni diploma tuombee TCU kuliko nacte.
Nacte waliahidi mwezi wa 6 kuwa mwisho wa kuaply ni trh 8 wa 9 safi sana hapo wamefuata ratiba. Sasa ishu inakuja kutoa majibu kwenye account zetu mpka sasa hakueleweki kabisa.
Kumbka sisi ni watoto wa wanyonge na haoy majibu ndo yanatufanya tujiandae mapema. Sasa kwa mfano mkitoa majibu mnatoa wiki ndo twe tumeripoti wakati wengine mpk vikao vya kijiji vikae kutuchangia.
NACTE acheni ujinga na uzembe fanyeni kazi kwa muda uliopangwa fungueni accaunt zetu tujue la kufanya km hatujachaguliwa.
Nawaslisha