Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Leo ndiyo siku ya kuload selection kwenye website za vyuo vya diploma na certificate 2018/2019. Tupeane taarifa vyuo gani vemetoa matokeo ya selection za wanachuo watarajiwa kujiunga
1 Reactions
18 Replies
6K Views
HEROS HONOR TV has shared a file with you - Acrobat.com
0 Reactions
25 Replies
3K Views
kuna nini tena majina ya selected applicant second round machache yani haieleweki
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari! Ningependa kupata uzoefu kiujumla kwa wadau ambao mmeshasoma au mnasoma masters degree. je umeionaje shule ya masters degree ukilinganisha na ile ya bachelor ? ipi kwako imekua simple na...
6 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari wakuu, naomba mniunge group LA watsapp LA Udsm (2018 fresher) +255738836394 asante wakuu
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Heslb wametoa majina ya wanafunz ambao hawajakidhi vigezo vya kupata mkopo.. Mimi pia ni mhanga naambiwa "BC not certified by Rita" ila nilihakiki. sasa Kwenye kuthibitisha( kurekebisha makosa)...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya kitu hii anisaidie.. Maana inanichanganya haya maswala ya sporophyte generation sijui gametophte generation.. Na ni jinsi gani hizo sporophte na gametophte...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Habari za leo member mwenzangu wa jf.Naomba kuelimishwa vizuri tofauti ya dedication na acknowledgement kwenye dissertation.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpaka leo napata hii kitu, nadhani kuna tatizo. Kuna ambaye ameweza kuingia kwenye akaunti yake? HTTP Status 404 – Not Found Type Status Report Message /noavs Description The origin server did...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Needed to confirm immediately
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Walimu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Nyerere 1,Badebi m.Masunga-s/m Mabule Ukerewe 2,Augustine Malindi-s/m Bukungu Ukerewe 3,Albert Mongela-s/m Amani Ilimela 4,Ligwa Lubinza-s/m...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Uanasheria ni profession ambayo inahitaji mtu ambaye yupo makini sana.Kuna watu wengi tunawaona na degree za sheria mitaani wakilalamika kwamba kozi ya sheria hailipi.Japo kuwa mimi sikusoma...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kipindi hiki ambacho matokeo ya kidato cha nne yametoka wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla wanakuwa na maswali mengi kuhusu namna ya kuchagua shule, masomo au fani gani ya kusomea...
3 Reactions
639 Replies
163K Views
Immediately confirmation needed
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa Wahitimu Kidato cha Sita 2018, Kwa Heshima kubwa, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawapongeza sana kwa kuhitimu masomo yenu na kufuzu vizuri kupitia matokeo ya mtihani yaliyotangazwa...
2 Reactions
18 Replies
10K Views
Wanajamvi habarini za muda huu Naomba kwa mwenye samples za research katika kada ya education anisaidie kuweka hapa sample hizo Natumaini wadau mtanisadia na kunishauri katika hilo Natanguliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi,Naomba update zozote kuhusiana na Udsm tangu walipofanya udahili...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Sifa: Awe na uelewa mzuri wa lugha ya Kiswahili na Kingereza, awe anajua kutumia computer hasa Microsoft word. Awe amesomea masomo ya lugha hasa kingereza. Awe mchapakazi na mwaminifu. Akiwa na...
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na umma kwa ujumla kwamba orodha ya baadhi ya waombaji mikopo ambao fomu...
0 Reactions
24 Replies
14K Views
Habarini za asubuhi wana JF mimi nimechaguliwa Automobile engineering pale NIT Dar lakini kwa kuwa sina ufahamu mzuri kuhusu hiyo kozi nataka kubadilisha nikasome mechanical naomba ushauri wenu...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Back
Top Bottom