KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
Kama ilivyokuwa toka kitambo kwa kijana wa kitanzania akimaliza form six na akabatika kupata nafsi ya kujiunga na chuo huona km sasa yeye ni specially kwa mambo yote ya kisomi na kijamii nakujisahau kuwa kuna magwiji na experienced people wako kitaani ata hizp mijisifa anayojipa mwenyewe wenziwe hawaoni km inawasatahili maana ni kawaida sana...
Sasa leo katika pitapita zangu za kusaka michongo ya noti nikakutana kabana pua kamoja na kigori mmoja kwa uzoefu wangu wa 5 yrs mjini nikihaso baada ya safari ya miaka 3 hapo udsm na uzoefu wa miaka km 15 na ushee wa harakati za kusaka mapene nikawagundua hawa first year.
Hawana cha kuonesha kuwa ni wasomi zaidi ya lugha iliyokuja na meli hapa namanisha kiinglish au kikiristo hawa madogo katika kukigonga mara nikamsikia yule kidogo akimjibu mwenziwe;
" It has never happen before".
Kilichonifanya nikagundua ni umakini wangu kwa kuwa wamevuta attention yangu kwa ujasiri wa kuzungumza hadharani bila shuruti lugha hii ambayo ni tishio ky6 hwa watanzania wengi pamoja na rais wetu....????
Si hilo walilokosea ni mengi sana hilo kosa moja tu.
Ushauri wangu usijifanye kuongea ongea sana hii lugha kwa minajili ya kujichukulia maujiko ya bure km hauna uhakika na competence yako...!
Wengine si kwamba hatujui ila kuzungumza mpaka kuwepo na shuruti fulani mfano kwenye interviews, kunyamaza au kutumia kiswaz kumetupatia maujiko zaidi ya madharau...!