Naomba msaada wa namna ya kusoma advanced biology

Naomba msaada wa namna ya kusoma advanced biology

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
720
Kama title inavyoeleza,nipo kidato cha sita PCB ,somo la biology kwangu limekua ni tatizo kidogo.Kila ninapofanya mtihani marks zina range 45_60,licha ya kwamba biology ktk combination yangu ndio somo lenye unafuu.

Range ktk masomo mengine ni nzuri,lakini deviations ktk somo hili ndio hunishushia ufaulu,kama inavyojulikana biology ni somo lenye vitu vingi sana hivyo njia ninayoitumia ktk kuisoma ni ile ya kusoma,elewa then summarize ulichoelewa.Njia hii imenifanya kila ninaposonga mbele (next topic)ile previous topic nakua nimeisahau lkn nakua na idea(ktk kujibu mtihani si tu idea uliyonayo inahitajika bali ile exact content juu ya swali uliloulizwa)

Hivyo basi,yeyote mwenye ujuzi wa somo hili naomba anisaidie namna ya kusoma ili vitu vi stick ktk kichwaa,

Naipenda biology
 
Komaa piga msuli heavy, harafu kama unalialia bios je hayo yalilyobaki utaweza
Bios easy than the rest
 
Ulisoma bios utwambie easiness yake????sitak useme umesikia nataka unambie umesoma ili nijue unavompotosha mwenzako
Imempotosha nini Hapo? Ukisoma PCB hapa kwa govt schools ukilala utasoma ,ukinya utasoma ,ukila,nk utasoma tu! PCB ni msuli tu

Kwa tunaosoma PCB huwezi lalamika bios kuwa ngumu nakuacha hayo mengine
 
Kuna kusoma kwa kuwa unaelewa mwalimu akifundisha tu na kuna wale lazima ukomae kinoma kutengeneza maksi.
Soma alama za nyakati. Jua pa kuishia usijeaibika kwa kufeli.
 
Soma sana vitabu mkuu, kama biological science na s.chand
Pia kama kuna cafe au access ya mtandao either home au skuli penda kugoogle about biology studies.
 
Soma sana vitabu mkuu, kama biological science na s.chand
Pia kama kuna cafe au access ya mtandao either home au skuli penda kugoogle about biology studies.

Shukran mkuu
 
Biology ina unafuu coz unasoma na kuelewa ila kaa kwenye paper ndo utajua unafuu wake umeonaga ma T.O wa pcb mara ngap je hukuwah kujiuliza okey that z not a big deal kitu cha kwanza
1.ukitaka angalau ufanye vzur jtahd kila iitwapo leo unapitia biology kitabu kizur n biological science yaan n unasoma mpaka ukiulizwa kitu fulan unajua mpaka page kilipo usisome bios kwa mzaha n ngumu kuliko unavofikiria
2.jtahd usolve past papers mbal mbal unaeza ukalenga sanasana za necta mwenzangu nmesoma bios so mchezo usome kwelkwel so somo rahs kama udhanivo ukizubaa hata E unapata
Ila ndo hvo acha kupuuzia bios

Shukran mkuu
 
Mkuu biolojia ni rahisi kusoma hapohapo ila kwenye kujibu mtihani full details ni kisanga,jitahidi kama kuisoma unaielewa concept kwa undani kabisa ili usisahau points kwenye kujibu mtihani
 
Kama title inavyoeleza,nipo kidato cha sita PCB ,somo la biology kwangu limekua ni tatizo kidogo.Kila ninapofanya mtihani marks zina range 45_60,licha ya kwamba biology ktk combination yangu ndio somo lenye unafuu.

Range ktk masomo mengine ni nzuri,lakini deviations ktk somo hili ndio hunishushia ufaulu,kama inavyojulikana biology ni somo lenye vitu vingi sana hivyo njia ninayoitumia ktk kuisoma ni ile ya kusoma,elewa then summarize ulichoelewa.Njia hii imenifanya kila ninaposonga mbele (next topic)ile previous topic nakua nimeisahau lkn nakua na idea(ktk kujibu mtihani si tu idea uliyonayo inahitajika bali ile exact content juu ya swali uliloulizwa)

Hivyo basi,yeyote mwenye ujuzi wa somo hili naomba anisaidie namna ya kusoma ili vitu vi stick ktk kichwaa,

Naipenda biology
Mambozzz nimekutoa kwenye reply yako ya Sky Eclat... The way she made you a member from being a visitor. Umekuja sehemu sahihi.

Former PCB student here nilikuwa sichukui syllabus ya NECTA tho, currently a medical student-almost finishing. My dreams is to become an orthopedic surgeon. I hope you have dreams like mine.

Going back to your question. Nimeona comments zakukupoteza kabisa, mfano unasoma biology huku una smartphone. What a wreck. Listen up, I never studied for any of my exams. Actually the week before exams ilikuwa party week. Sisomi kabisa. And guess what I got a div 1.7

Techniques I used. Kila siku ukitoka shule, Soma ulichofundishwa. Hakikisha umeelewa. Usilale Kama hujaelewa. Kesho yake hivyo hivyo ila kile ulichokisoma jana kiandike kwa maneno yako, hata ukichora poa. Fanya hivi siku zote 5. Jmosi na Jpili relax, watch the new episode of your favorite series. Then Jtatu rudisha mchakamchaka. Darasani usipoelewa kitu ask your teacher, no matter how stupid the question is. Mimi nilikuwa nachekwa sana... Ila I used that to my advantage. Turned out half my class hawakupata grade yoyote, I got a 92% mtu wa pili ana 57%. Amini mpaka leo medical school, nisipoelewa kitu kidogo napenda kukiclear up usijali wenzako watakuona zoba kiaje. Kumbuka shule ni Kama traffic lights, when it turns green; kila mtu ana engine yake Kuna mwenye v8, Kuna mwenye ist na mwenye vitz hamtotoka na speed moja.

Note::: usipoelewa kitu make sure haipiti siku tatu umeelewa. Holidays rudia ulivyosoma term nzima. Utaona kila kitu kimekaa kichwani hata ukiamka you can explain how we regulate our blood sugar levels. Napendaga kusema biology is like a novel, ukipenda novel utaweza kuihadithia ukiimaliza. Now make sure when you write your paper, you write it with details like a novel. Amini nakuambia, you will shine like the brightest star.

-callmeGhost
 
Hongera kwa kuwa open na kuweza kushirikisha watu juu ya tayizo lako, Advanced Biology inahitaji uelewa sana nakumbika vitabi kama B.S na Understanding Biology ni vitabu ambavyo vimeandikwa kwa lugha rafiki kwa mwanafunzi kuelewa skwa hiyo jiyahidi sana kuvisoma na kuvielewa and kwa kusisitiza zaidi kuna highlighted questions kwenye B.S(Biological Science) book mara nyingi maswali yale hutoka kwenye mitihani mbalimbali(normal internal exams, zonal exams na hata National Exam) hivyo ni vizuri ukawa unayafahamu vizuri maswali hayo maana yapo na majibu yake nyuma ya hicho kitabu.
Kwa upande mwingine wa mtazamo Biology ni somo pana sana so unaweza usiwe na muda wa kucover topic zote kiundani lakini ni vema kufanyia kazi ushauri wa member mwenzetu Sky Eclat kuhusu hzo past papers maana hii itakupa wide range coverage na pia kutambua namna maswali yanavyoulizwa na tricks mbalimbali za somo, pia ukiwa na marafiki ambao unatambua wapo serious ni vema kama mtaweza kufanya discussion kuhusu topic mbalimbali za somo.
kwa kumalizia nikutakie masomo mema na uendelee kujituma katika elimu yako
 
Hongera
kwa kuwa open na kuweza kushirikisha
watu juu ya tayizo lako, Advanced Biology inahitaji uelewa sana nakumbika vitabi kama B.S na Understanding Biology ni vitabu ambavyo vimeandikwa kwa lugha rafi
ki kwa mwanafunzi kuelewa skwa hiyo jiyahidi sana kuvisoma na kuvielewa and kwa kusisitiza zaidi kuna highlighted questions kwenye B.S(Biological Science) book mara
Shukran mkuu
nyingi maswali yale hutoka kwenye mitihani mbalimbali(normal internal exams, zonal exams na hata National Exam) hivyo ni vizuri ukawa unayafahamu vizuri maswali hayo maana yapo na majibu yake nyuma ya hicho kitabu.

Back
Top Bottom