Fani ya uhifadhi

Fani ya uhifadhi

Hovering

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
328
Reaction score
1,015
Wakubwa naomba kujua, career ya uhifadhi katika mbuga za wanyama au mapori ya akiba inahitaji msomi alisomea fani gani ama course gan....na je ni vyuo gani hapa Tz vinatoa mafunzo hayo?
 
Poa...lakini bado hujanijibu swali ya course gani unayopaswa kuisoma kwa ngazi yoyote kati ya diploma ama degree

Nimejibu part B, we sasa unataka nikutafnie kbs mkuu? Pitia website hizo kulingana na sifa zako, PhD ni SuA na UDsm pekee
 
Kwa level ya astashahada na stashahada unatakiwa usome certificate or diploma in Wildlife management kuwa mhifadhi wanyama pori au forestry kuwa mhifadhi wa misitu au mapori ya akiba. Kwa ngazi ya shahada na uzamivu soma bsc. Forestry or wildlife management at SUA.
Vyuo vinahusika na hizo kozi ni mweka, pansian, Fti na Udsm.
Karibu ni kozi nzuri kuwahi kutokea duniani.
 
certificate kasome pasiansi Mwanza - Technician certificate in wildlife management & low enforcement.
Diploma na bachelor nenda CAWM (Mweka) - diploma/bachelor degree in wildlife management.
Ila kama uchumi ni mdogo unaweza kwenda SUA kwa level ya degree.
pote hapo utakuwa na career ya uhifadhi katika hifadhi za taifa, mapori tengefu, mapori ya akiba na conservation NGO 's
Sawa mkuu, nimekupata hapo
 
Back
Top Bottom