Milestone
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 376
- 413
Nimejaribu kuuliza watu wengi hasa baada ya haya matokei ya form four wale waliofanikiwa kufaulu juu ya malengo yao ya baadae , asilimia kubwa wameniambia wanataka kuwa madaktari wa mifupa , watoto , moyo na nk ila cha ajabu nilichokiona ni ukimuuliza unaenda kusoma combi gan advanced level atakwambia CBG! Wapi na wapi CBG na udaktari wa watu? Wangeniambia wa mifugo ngewaelewa