Wadau nilipata bahati kutembelea maonyesho ya vyuo vikuu pale Diamond Jubilee leo, duuh nimekuta vyuo vya China kama 25 hivi kila chuo kikiwa na banda lake kwa ajili ya Maonyesho binafsi nimevutiwa na NANJING NORMAL UNIVERSITY na Mambo yakienda sawa nimepanga kujiunga na chuo hiki.
Hakika hawa wachina wanajua wanchokifanya so friendly na wakati ukifika kwenye banda lao wanakuchangamkia sana, SASA kivumbi nikaenda banda la UDSM kwanza kila mtu yupo bize kugombania Chai na Soda walizoletewa hakuna wa kumsikiliza mteja/visitors.
MZUMBE ndo hatari namuuliza kozi inayotolewa hapo MZUMBE anadai hajui kama inakuwa offered hapo chuoni. Nikaenda Banda la TUMAINI UNIVERSITY (IRINGA) daah wao ndo balaa nikajaribu kuulizia kozi wanazotoa nikakaripiwa kama vile nimekuja kuomba nauli basi nikaomba Prospectus angalau nipitie mwenyewe.
Nikaambiwa nije baada ya maonyesho kwisha maana zilizopo ni kwa ajili ya DISPLAY tu. Nikaenda banda la MOUNT KENYA UNIVERSITY hawa ndo noma kwanza wakanipokea kwa ukarimu na kuanza kuniuliza maswali ya udadisi nilipowaambia nahitaji kozi za PhD wakaanza kunipa details za kozi na kunipa leaflets, prospectus na business card just in case nahitaji kuulizia chochote kuhusu kozi zao.
NIMEJIFUNZA vitu viwili kwenye haya maonyesho 1. WAGENI TOKA NJE YA NCHI eg. from Kenya & China wanajua nini maana ya EXHIBITIONS wanakuja FULL leaflets, prospectus na wana customer service ya kutosha VYUO VYA TANZANIA na TCU tumejaa ubabaishaji tu kazi kwenda kuuza sura na kusubiri Allowances. SHAME ON TANZANIA'S UNIVERSITIES & TCU hivi mnajua mnachofanya?