Msaada: Wana JF nisaidieni kujibu maswali haya, nina interview

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
278
Q 1. Despite of reforms in the curriculum the progress made in the promotion of practical education in primary and secondary schools is very slow and insignificant. Using pertinent examples provide an account that substantiate or refute the statement

Q 2. Some people claim that with the shift from egalitarian to privatization policy the philosophy of Education for Self Reliance (ESR) is no longer useful in Tanzania. Critically evaluate the relevance of this philosophy to day
 
Najua hujaelewa maswali na sio kwamba huna majibu. Kifupi qn1 anataka umwambie kwanini maboreshi ya mtaala wa elimu msingi/sekondari ukiusoma ni nzuri Sana lakini kiuhalisia elimu yetu bado inazidi kuwa duni?

Qn2 umwelezee Kama sera ya elimu ya kujitegemea bado unaweza ikaendelea kutumiwa na watz au haifaihhaifai, japo Kuna watu wanadai imepitwa na wakati kutokana na muingiliani wa sera ya ubinafsishaji.

Nikupe na majibu? Utakuwa kilaza Sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom