Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D
Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP -...
Habari za muda huu,
Kwa sasa nipo darasani nafundisha shule za awali, hapa darasani kuna wanafunzi kama wawili, yaani nimetumia mbinu zote za ualimu ili hawa watoto waweze kukumbuka masomo...
WanaJF habari zenu,naombeni kufahamu kuhusu shule ya minaki mwanangu kachaguliwa nataka kumpeleka.Je mazingira yapo vizuri kuruhusu mwanafunzi kusoma vema? Na walimu wapo?
Kama wewe ni mwanafunzi unaesoma kada ya afya,iwe udakitari,maabara,famasia na kadhalika download hii app itakusaidia kujua Mambo mbalimbali, app ina mbs 80 inapatikana Google play store,
Tangu awamu ya tano iingie madarakani kuna mabadiliko mengi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu. Binafsi kama mtanzania mzalendo nahuzunishwa na tabia za baadhi ya taasisi za elimu...
Mdogo angu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019 ila amepangiwa katika chuo cha Ushirika cha Moshi ila katika cumpus ya Kizumbi iliyopo Shinyanga.
Swali langu ni kwamba!
Kuna uwezekano wa yeye...
Je, ni kozi hipi ya afya yenye soko at moment itakayo nifaa kwa ufahuru wangu huu;
Bio-. C
Chem- D
Geography- C
Physics -D
English- C
Kisw - B
History - C
Math-. F
Civic- C
Literally-C
Division...
Nasoma lakini katika kusoma kwangu nimezoea kujibu jibu maswali hadi inafika muda mwalimu ananiambia nipumzike lakini sio kusema kwamba wengine hawajui sijui kwao ni hofu kujibu au hawajisikii...
Habari wanaJamiiForums,
Mimi naomba kuuliza ni short coz gani nzuri za computer ambazo naweza kusoma kwa muda mfupi na zinazoweza leta faida kwangu
Ushauri Tafadhari.
Wana JF,
Tarehe 29 shule zote zinaenda kufinguliwa, ila Changamoto kwa upande wangu ni haya masaa mawili yaliyoongezwa, Kwa mwalimu anaekaa Mbagala af kazi anafanyia Makumbusho cna uhakika kama...
Habari,
Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye...
Wapendwa, naomba kusaidiwa.
1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo...
Tafadhali naomba kufahamishwa kozi hii hapa inahusiana na nini? Hospital operations ndiyo nini? Unafanya kazi wapi? Ajira zake zikoje Tanzania? Unakuwa na utaalamu gani?
Taarifa ya Kuchaguliwa...
Wizara imetoa muongozo kwa ajili ya kuwaongoza wamiliki wa shule zote, yaani za serikali na zisizokuwa za serikali utakaoanza kutumika katika mwaka 2018/2019.
Katika taarifa iliyotolewa na Kaimu...
Padri akemea ngono UDSM
: 0
Padri Josephat Mosha wa Kanisa Katoliki Parokia ya Changombe mkoani Dar es Salaam, amewataka wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kutambua...
Natamani kufahamu, kuna mdogo wangu alimaliza Form 4. Alipata division 2 ya point 19. Nilitaka asome PCM au PCB lakini selection zimekuja wamemchagua EGM. Na shule anayoenda hakuna hizo tahsusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.