Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

Zum

Member
Feb 11, 2014
33
4
Habari.

Naomba Msaada na ufafanuzi Wa Kuchukua Diploma Kati ya hizi Kozi tajwa apo juu.Kwa miaka tunayoendana nayo uko mbeleni ìpi ina wigo mpana katika soko na Ipi itakuwa na manufaa zaidi.

Asanteni.
 
Computer science hata hi jamiiforum ni mambo hayohayo pia tourism tour guide mm nahisi lugha uwe vizuri pia uwe na ujuzi flani mwingine wakiani
 
Kwanza una qualifications? Maana za comp science na tourism. Si qualifications sawa
 
Fuata kile roho inapenda kisha ufanye kwa juhudi na maarifa yako yote utafanikiwa.
Kila fani hapo kuna watu imewatoa vizuri kimaisha na kuna ambao haijawatoa wapo maskini wa kutupwa wanasota mtaaani.

Kila la kheri, tena uwe makini sana hapo kwenye Computer Science ina ushindani mkubwa mtaani na pia ni kozi ngumu kidogo hasa kama 'kichwa yako siyo nyepesi' kufikiria nje ya kasha (box). Kichwa yako iwe na ile akili ya kihesabu hesabu flani japo Basic Math.
 
vigezo vipo..Nna Chet cha It NT4.na kuhs vegzo vya tourism nnavyo pia.Nna Dv 27 Bios G Histry English zot hzo Pass na credt baadh
 
Kwanza una qualifications? Maana za comp science na tourism. Si qualifications sawa
Quàki
Vige
Soma IT hata kama ukikosa ajira unaibia watu mtandaoni kama Hushpup
duh..asante kw ushaur mkuu
Fuata kile roho inapenda kisha ufanye kwa juhudi na maarifa yako yote utafanikiwa.
Kila fani hapo kuna watu imewatoa vizuri kimaisha na kuna ambao haijawatoa wapo maskini wa kutupwa wanasota mtaaani.

Kila la kheri, tena uwe makini sana hapo kwenye Computer Science ina ushindani mkubwa mtaani na pia ni kozi ngumu kidogo hasa kama 'kichwa yako siyo nyepesi' kufikiria nje ya kasha (box). Kichwa yako iwe na ile akili ya kihesabu hesabu flani japo Basic Math.
shukran sana kiongozi kw ushaur wako.ntafnyia kazi nasaha zako.Mungu awabrik kw muda wenu mulotenga kunishaur.
 
Kwa tourism ngazi ya diploma ni bora tu usome IT, sababu kubwa tour guide hauhitaji diploma ili uwe favoured kwenye soko la ajira, kuna "machalii" wamejazana arusha mjini, moshi na mto wa mbu pale wana certificates tu za miezi sita mpaka mwaka, jumlisha na course za lugha mbalimbali na familiarity ya pori,

Hao huwezi kuwapata hata kwa kuwakimbilia sababu kubwa kwa tour guide haihitaji makaratasi sana, inataka uwe mzuri kwenye field (porini) i.e hata mtu asie na cheti cha darasa la saba anaweza kuwa local tour guide mzuri kukuzidi wewe wa diploma.

Kwa Tourism in general kama kusoma ni bora ukachukue degree (kama una vigezo) hapa utajipa uwanja mpana wa kuingia kwenye management zaidi.
 
Soma computer science ukikosa ajira utajiajili ata kuflash simu, kubadilisha spear za simu, software za simu installation.

Lakini kuongoza wageni dah mambo ya kuvaa safari buti
 
Kwanza una qualifications? Maana za comp science na tourism. Si qualifications sawa
Quàki
Vige
Soma IT hata kama ukikosa ajira unaibia watu mtandaoni kama Hushpup
duh..asante kw ushaur mkuu
Fuata kile roho inapenda kisha ufanye kwa juhudi na maarifa yako yote utafanikiwa.
Kila fani hapo kuna watu imewatoa vizuri kimaisha na kuna ambao haijawatoa wapo maskini wa kutupwa wanasota mtaaani.

Kila la kheri, tena uwe makini sana hapo kwenye Computer Science ina ushindani mkubwa mtaani na pia ni kozi ngumu kidogo hasa kama 'kichwa yako siyo nyepesi' kufikiria nje ya kasha (box). Kichwa yako iwe na ile akili ya kihesabu hesabu flani japo Basic Math.
shukran sana kiongozi kw ushaur wako.ntafnyia kazi nasaha zako.Mungu awabrik kw muda wenu mulotenga kunishaur.
Computer science hata hi jamiiforum ni mambo hayohayo pia tourism tour guide mm nahisi lugha uwe vizuri pia uwe na ujuzi flani mwingine wakiani
kwa lugha kw sas ni kingerza nd sana.ila lugha ya lugh nyngn ambz zpo ktk sok bdo sjaanza kujfunza.lugha nmpta uzoef zaid kipnd naish nje ya nchi.kuhs ujuz nlonao ni mamb ya Computer nna ngaz ya chet miaka 4 sasa.nafny ishu mbal mbal za IT jpo sio indeep.lkn nliwaza kuingia kweny sekta ya utalii nkiw pia nna uzoef wa maswal ya computer.au niendleze fani hi kw ngaz ya juu.
Ujuz mkubw nafnya san Mamb Ya IT na kutatua mamb mbal mabl yanoyhs mifumo ya Computer Na ktk Swala zma la Co.Networking.
 
Nim

Nimekusoma

Apo nmekuelewa kiongoz.Umenipa ukurasa mwngne ambao skuwa naufahm kuhs mamb ya hawa jamaa na kulingnsha na walisoma san.
Nashkur kw Ushaur wako Ndugu.
 
Asnte kwa ushaur kiongoz wang.Safar but mtihaan eh😁😁
 
Habari.

Naomba Msaada na ufafanuzi Wa Kuchukua Diploma Kati ya hizi Kozi tajwa apo juu.Kwa miaka tunayoendana nayo uko mbeleni ìpi ina wigo mpana katika soko na Ipi itakuwa na manufaa zaidi.

Asanteni.
Ushauri tu
Diploma in IT/ computer science
Iko best....
 
  • Thanks
Reactions: Zum
Pamoja kaka..Nipe kidgo wap ukibase unaeeza fanya jambo la uhakika au ukaon matunda ake..Hasa ktk maswal ya Networking,Programing na Database.wapi nikaze kamba
 
Back
Top Bottom