Jukwaa la siasa, Kuna Jimbo kuleWapi?
Mie S/msingi Kimbangulile nimeambulia "because" tuThe correct answer is A because Challie did not mention who did it while others mentioned the one who did it, and Eddy confessed that Challie did it
Mi mwenyewe nimejikuta tu nimejibu kidhungu wakat nimeishia vidudu sijui ni haka ka pombe pembeni yangu ndo kameniwezeshaMie S/msingi Kimbangulile nimeambulia "because" tu
Itakuwa kapombe hakoMi mwenyewe nimejikuta tu nimejibu kidhungu wakat nimeishia vidudu sijui ni haka ka pombe pembeni yangu ndo kameniwezesha
Tehe tehe teheeeeee ila kweli, ngoja niagize kengine huenda nitakuwa mbobezi zaidItakuwa kapombe hako
Ila kuna wakati unajikuta unatoa jibu sahihi mpaka mwenyewe unajishangaa
Haya....kila la kheri!!!Tehe tehe teheeeeee ila kweli, ngoja niagize kengine huenda nitakuwa mbobezi zaid
😂😂😂Mwalimu unajua wanafunzi wako wanakuangalia hivoo...!