Wadau naomba ufafanuzi kuhusu hili la Hons katika Degree

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
904
Wadau naomba ufafanuzi tafadhali

Nini maana Hons katika degree? Nje ya UD kuna chuo kinatoa? Vigezo vyake ni vipi? Chuo kina uwezo wa kumpokonya alumni wake degree?
 
Honours degree has various meanings in the context of different degrees and education systems. Most commonly it refers to a variant of the undergraduate bachelor's degree containing a larger volume of material or a higher standard of study, or both, rather than an "ordinary", "general" or "pass" bachelor's degree.

Honours degrees are sometimes indicated by "Hons" after the degree abbreviation, with various punctuation according to local custom, e.g. "BA (Hons)", "B.A., Hons", etc
 
Hons iko natafisiri nyingi ila Acha waliosoma Jalalani waje wakupe ufafanuzi ila tu kwa uelewa wangu Mdogo Hons hutumika ikiwa tu mwanafunzi GPA yake ilikuwa inaongezeka tu kila academic year
 
Haya ni maswali mawili? Sema kichwa cha habari ni kirefu kuliko habari yenyewe. Kuhusu Hons mimi nafahamu vyuo vyote vinatoa, vigezo vinavyotumika ni kwa wanafunzi waliofanya vizuri tangu wanaanza chuo hadi wanamaliza bila kushuka kiwango cha ufaulu.

Lakini pia kwa wanafunzi waliopambana kupanda kiwango cha ufaulu kila mwaka (mfano mwaka wa kwanza GPA 2.0, wa pili 2.8, wa tatu 3.4 na kuendelea), pia kuna baadhi ya vyuo vinatoa kwa wanafunzi walioweza kumaliza chuo bila kufeli kozi hata moja.
 
Hons iko natafisiri nyingi ila Acha waliosoma Jalalani waje wakupe ufafanuzi ila tu kwa uelewa wangu Mdogo Hons hutumika ikiwa tu mwanafunzi GPA yake ilikuwa inaongezeka tu kila academic year
Kunaweza kukawa na vigezo vya ziada kuliko GPA kupanda tu. Mfano, mimi mwaka wa kwanza nlikuwa na 4.1, wa pili 3.8 na wa tatu 4.2.
So, mwaka wa pili nilishuka but still cheti kinasomeka "with honours".
 
Kunaweza kukawa na vigezo vya ziada kuliko GPA kupanda tu.
Mfano, mimi mwaka wa kwanza nlikuwa na 4.1, wa pili 3.8 na wa tatu 4.2.
So, mwaka wa pili nilishuka but still cheti kinasomeka "with honours".
Ni kweli mkuu ndio mana nikasema inategemea na Chuo mana kuna ambao hons hutoa ikiwa tu hujawahi kudakwa hata Sup moja
 
Nini maana Hons katika degree?
Kwa UDSM wanakupa degree with hons ukipata second au first class haijalishi GPA yako ilicheza vipi. Hapa kigezo ni ufaulu.

Nje ya UD kuna chuo kinatoa?
Kwa Tanzania sina hakika, lakini huko majuu ni kitu cha kawaida. Kuna vyuo ambavyo vinatoa programs ambazo ni hons programs, as such hata ukipata plain pass unakuwa bado una hons degree. Yaani uhons wake siyo ufaulu wako bali ni content yake (ambayo ina mambo mengi zaidi na huenda ni ngumu zaidi, huweza kuchukua miaka kama minne hivi)

Vigezo vyake ni vipi? Soma hapo juu

Chuo kina uwezo wa kumpokonya alumni wake degree?
Chuo kinaweza kukupokonya degree kama wakigundua umefanya udanganyifu wa kitaluuma. Kudanganya ufaulu wako uliokupa admission, plagiarism (degree za juu), na kadhalika.

Hata UD walishafanya hivyo, kuna waziri wa ujerumani yalimkuta akanyang'anywa degree na uwaziri ukamtoka. Mama Grace Mugabe sijui yalimkuta yapi lakini VC alimwaga unga.

Hapo uliposema upper second na first class sio kweli

Maana kuna watu wana lower second na bado wana Hons
 
Back
Top Bottom